LUMO LogoLUMO
KUFUATILIA MZIGO TANZANIA

Mfumo wa Kufuatilia Mizigo kwa Wafanyabiashara Tanzania

Wape wateja wako amani ya moyo kwa kuwapa link ya kufuatilia mzigo wao live kupitia simu yoyote.

1. Mzigo Umeandaliwa

Mfanyabiashara anasajili oda na kuingiza namba ya mteja.

2. Uko Njiani

Dereva anaanza safari na mteja anapokea SMS yenye Link.

3. Amewasili Karibu

Dereva anapofika karibu mteja anapokea arifa ya kujiandaa.

4. Umekabidhiwa

Mzigo unakabidhiwa kwa namba ya siri ya PIN ya mteja.