LUMO LogoLUMO
HATUA 5 RAHISI

Jinsi LUMO Track Inavyofanya Kazi

Njia rahisi na ya kisasa ya kuratibu delivery za biashara yako nchini Tanzania.

1

Sajili Mzigo

Ingiza taarifa za oda na namba ya simu ya mteja kwenye Dashboard.

2

Tuma Arifa

Mteja anapokea SMS au WhatsApp yenye Link ya kufuatilia mzigo wake.

3

Dereva Anaanza Safari

Dereva anabonyeza link kwenye simu yake kuanza safari.

4

Mteja Anafuatilia Live

Mteja anaona dereva aliko na muda unaokadiriwa kufika.

5

Thibitisha Kukabidhi

Mzigo unakabidhiwa kwa kuweka PIN ya namba 4 ya mteja.