LUMO LogoLUMO
SWAHILI VERSION • TANZANIA

Kufuatilia Mizigo & Arifa za Delivery kwa Wafanyabiashara Tanzania

Wajulishe wateja wako kuanzia mzigo unapotoka dukani mpaka kufika mlangoni kwao kupitia SMS, WhatsApp, na Link ya bure ya wavuti — bila kudownload App.

Arifa za SMS & WhatsApp

Mteja anapokea ujumbe wa SMS au WhatsApp papo hapo pindi mzigo unaposafirishwa au dereva anapokaribia.

Link ya Wavuti (Bila App)

Mteja anabonyeza link iliyopo kwenye SMS na kuona hali ya mzigo wake live kwenye browser ya simu bila kujiandikisha au kudownload app.

Namba ya Siri ya PIN (OTP)

Ondoa migogoro ya upotevu wa mizigo. Dereva anathibitisha kukabidhi mzigo kwa kuweka PIN ya namba 4 ya mteja.